picha za wasanii wa tanzania katika matukio tofauti mbalimli ,hivi kwel wasanii wetu wana nufaishwa na fani yao kama la hivi nini chanzo cha wao kutokujikwamua kiuchumi kama wasanii wa mamtoni yatupasa tubadilike hasa wsanii kwa upande mkubwa wastuke watetee haki zao kwa ajili ya masilai yao kwani hao ni wananchi wa tanzania hebu ona haya: mtu an burn nyimbo au mziki ana uuza katika DVD na kuanza kusambaza mtaani bila kibali cha mhusika ,kitendo kama hiki kinawaumiza wasanii na kudidimiza uchumi wao na uchumi wa nchi kwa ujumla jamani tubadilike mimi kama mdau wa bongo movie na bongo flava ,inaniuma sana CHANGE NI MIMI NI WEWE NI SOTE by muhenga gabriel ,Tarime Mara









































Comments

Popular posts from this blog

Top Ten Best Movies Production Companies

EXPECT LOW ,YOU WILL NEVER BE DISAPPOINTED