WATANZANIA TUPINGE USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Alisema kuwa ushoga na hai za ndoa kwa watu wa jinsia moja vinaweza `kuiharibu’ ziara yake hapa nchini. Mapema wiki hii, Rais Obama alikaririwa akizungumzia masuala hayo yanayotajwa kuwa ni moja ya haki za msingi za binadamu, alipokuwa Senegal, lakini akapingwa. “Watanzania hawatalikubali na wataendelea kushikilia uhuru na heshima walizojengewa tangu awali, kwamba ushoga na ndoa za jinsia moja havikubaliki,” alisema Ndoa za mashoga kuhalalishwa Uingereza Ndoa za watu wa jinsia moja zitahalalaishwa katika mataifa ya England na Wales, baada ya bunge la Uingereza kuidhinisha mabadiliko ya mwisho katika sheria ambayo inaungwa mkono na waziri mkuu David Cameron. Sheria hiyo imesababisha mgawanyiko katika chama cha kihafidhina, Conservative, cha David Cameron. Sh...