WHEN I WAS YOUNG

nikiona picha yangu nakumbuka mbali sana enzi hizo niko young, nilikuwa na mishemishe sana pia nawakumbuka baadhi ya mafriend ambao tulikuwa nao kitaa,yaniiii cku zina songa kinyama dah! 
                   yaani ukiona siku zina enda jua kuwa u kalibu kuifikia mauti  so i try to make changes in my life ,dats all ! 
 

Comments

Popular posts from this blog

Top Ten Best Movies Production Companies

EXPECT LOW ,YOU WILL NEVER BE DISAPPOINTED