Posts

Showing posts from June, 2013

picha za wasanii wa tanzania katika matukio tofauti mbalimli ,hivi kwel wasanii wetu wana nufaishwa na fani yao kama la hivi nini chanzo cha wao kutokujikwamua kiuchumi kama wasanii wa mamtoni yatupasa tubadilike hasa wsanii kwa upande mkubwa wastuke watetee haki zao kwa ajili ya masilai yao kwani hao ni wananchi wa tanzania hebu ona haya: mtu an burn nyimbo au mziki ana uuza katika DVD na kuanza kusambaza mtaani bila kibali cha mhusika ,kitendo kama hiki kinawaumiza wasanii na kudidimiza uchumi wao na uchumi wa nchi kwa ujumla jamani tubadilike mimi kama mdau wa bongo movie na bongo flava ,inaniuma sana CHANGE NI MIMI NI WEWE NI SOTE by muhenga gabriel ,Tarime Mara

Image

PICHA ZA KWENYE MSIBA WA NGWAIR

Image

WASHINDI WA KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013

Sunday, June 09, 2013 WASHINDI kli music award 2013 MSANI BORA WA KIUME Diamond VIDEO BORA YA MWAKA Ommy Dimpoz - Baadae WIMBO BORA WA HIP HOP Dear God - Kala Jeremiah WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI Valu valu - Jose Chamelion WIMBO BORA WA MWAKA WA HIP HOP Ney Wa Mitego - Sema Nao MTUNZI BORA WA MASHAIRI HIP HOP NA MSANII BORA WA HIP HOP Kala Jeremiah MSANII BORA WA HIP HOP Kala Jeremiah WIMBO BORA WA RAGGAE/DANCEHALL Dabo - Predator BENDI BORA Mashujaa Bendi RAPA BORA WA BENDI Ferguson MSANII BORA WA KIUME BENDI Chalz Baba MSANII BORA WA K*** BENDI Luiza Mbutu MTAYARISHAJI WA WIMBO BORA WA MWAKA BENDI Amoroso WIMBO BORA WA BENDI Mashujaa Bendi na wimbo wa "Risasi kidole" MSANII BORA ANAYECHIPUKIA Ali Nipishe WIMBO BORA WA BONGO POP Ommy Dimpoz Featuring Vanessa Mdee MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA Diamond MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BONGO FLAVA Man Water MTUNZI BORA WA MASHAIRI BONGO FLAVA Be...

muhenga gaby photo.

Image
im so simpe if you copy my attitude